Bei za Domain
Bei za usajili wa mwaka mmoja kwa shilingi za Kitanzania.
| Kiendelezi | Bei ya Usajili (Mwaka 1) |
|---|---|
| .co.tz | TZS 25,000/= |
| .tz | TZS 90,000/= |
| .or.tz | TZS 25,000/= |
| .ac.tz | TZS 25,000/= |
| .sc.tz | TZS 25,000/= |
| .com | TZS 35,000/= |
| .africa | TZS 45,000/= |
| .net | TZS 45,000/= |
| .org | TZS 40,000/= |
Bei ni kwa mwaka wa kwanza wa usajili.
Domain ni nini?
Domain ni anwani ya tovuti yako mtandaoni, kwa mfano biasharayako.co.tz. Ndiyo jina wateja wanaloandika kukufikia, na pia ndiyo sehemu ya mwisho ya barua pepe zako za kampuni, kama info@biasharayako.co.tz.
Uchague domain ipi?
Biashara nyingi husajili .co.tz na .com kwa pamoja ili kulinda jina lao na kuwafikia wateja wa ndani na nje ya nchi.
- .co.tz — kwa makampuni na biashara. Ni chaguo maarufu zaidi Tanzania.
- .tz — domain fupi ya nchi, chaguo la hadhi ya juu.
- .or.tz — kwa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) na vyama.
- .ac.tz — kwa vyuo vikuu na vyuo.
- .sc.tz — kwa shule.
- .com — kwa biashara zinazohudumia wateja wa kimataifa.
Jinsi ya kusajili domain
Unapendelea msaada? Tutumie jina unalotaka kwa WhatsApp, tutakuangalia kama linapatikana na kukusajilia.
- Tafuta jina unalotaka kwenye ukurasa wa kutafuta domain.
- Weka domain kwenye kikapu, pamoja na hosting au barua pepe ukihitaji.
- Jaza taarifa zako kwa usahihi.
- Lipa kwa M-PESA, Mixx by YAS, Airtel Money au kadi.
- Timu yetu inakamilisha usajili na kuwasiliana nawe ikihitajika taarifa zaidi.
Wasiliana Nasi
Ofisi Yetu
Oneway Africa Technologies
10 Bridge St, Samora Towers
Dar es Salaam, Tanzania
Njia za Malipo
Lipa kwa M-PESA, Mixx by YAS, Airtel Money au kadi ya benki moja kwa moja kwenye ankara yako.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Domain ya .co.tz ni TZS 25,000 kwa mwaka wa kwanza ukisajili na Oneway Africa.
.co.tz ni kwa ajili ya biashara na makampuni Tanzania. .tz ni domain fupi ya nchi na inauzwa kama chaguo la hadhi ya juu.
Ndiyo. NGO na vyama hutumia .or.tz, vyuo hutumia .ac.tz na shule hutumia .sc.tz.
Hapana. Unaweza kusajili domain peke yake na kuongeza hosting au barua pepe baadaye.
Ndiyo. Unaweza kulipa kwa M-PESA, Mixx by YAS, Airtel Money au kadi ya benki.