Vifurushi vya Hosting
Bei za mwaka kwa shilingi za Kitanzania. Kila kifurushi kina cPanel, SSL bure na bandwidth isiyo na kikomo.
Swala Plan
- Unlimited E-mail Addresses
- 1 GB NVMe SSD Storage
- Unlimited Bandwidth
- LiteSpeed Web Server
- NodeJS, PHP, Python Supported
Chui Plan
- Unlimited E-mail Addresses
- 5 GB NVMe SSD Storage
- Unlimited Bandwidth
- LiteSpeed Web Server
- NodeJS, PHP, Python Supported
Twiga Plan
- Unlimited E-mail Addresses
- 10 GB NVMe SSD Storage
- Unlimited Bandwidth
- LiteSpeed Web Server
- NodeJS, PHP, Python Supported
Tembo Plan
- Unlimited E-mail Addresses
- Unlimited SSD Storage
- Unlimited Bandwidth
- LiteSpeed Web Server
- NodeJS, PHP, Python Supported
Bei ni kwa mwaka. Unaweza kupandisha kifurushi wakati wowote biashara yako inapokua.
Web hosting ni nini?
Web hosting ni huduma inayohifadhi tovuti yako kwenye seva iliyounganishwa na mtandao saa 24, ili wateja waweze kuifungua popote walipo. Bila hosting, tovuti yako haiwezi kuonekana mtandaoni.
Kwa kifurushi cha hosting kutoka Oneway Africa unapata nafasi ya kuhifadhi tovuti yako, barua pepe za kampuni (mfano info@biasharayako.co.tz), na paneli ya cPanel ya kusimamia kila kitu kwa urahisi.
Unachopata kwenye kila kifurushi
- Hifadhi ya NVMe SSD — tovuti inafunguka haraka zaidi.
- Seva ya LiteSpeed — kasi kubwa hasa kwa tovuti za WordPress.
- Cheti cha SSL bure — alama ya kufuli kwenye kivinjari na usalama kwa wateja.
- Backup kila siku — rejesha tovuti yako kwa kubofya mara moja.
- Barua pepe bila kikomo kwenye domain yako mwenyewe.
- Softaculous — sakinisha WordPress na programu nyingine kwa kubofya mara moja.
Kwa nini uchague Oneway Africa?
Sisi ni kampuni ya Kitanzania yenye ofisi Samora Towers, Dar es Salaam, tunayosaidia biashara kuwa mtandaoni tangu mwaka 2018. Ankara zetu ziko kwa shilingi, na unalipa kwa njia unazozitumia kila siku: M-PESA, Mixx by YAS, Airtel Money au kadi ya benki.
Ukihitaji msaada, unawasiliana na timu yetu kwa WhatsApp au simu, kwa Kiswahili au Kiingereza. Tunahudumia wateja Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma, Zanzibar na mikoa yote ya Tanzania.
Domain na barua pepe za kampuni
Tovuti inahitaji jina, yaani domain. Sajili domain ya .co.tz au .com pamoja na hosting yako, kisha tengeneza barua pepe za kitaalamu kwa wafanyakazi wako. Unahitaji tovuti itengenezwe pia? Timu yetu ya kutengeneza tovuti inaweza kukusaidia.
Imetengenezwa kwa ajili ya Tanzania
Lipa kwa Shilingi
Lipa ankara kwa M-PESA, Mixx by YAS, Airtel Money au kadi.
Msaada wa Karibu
Timu yetu iko Dar es Salaam — simu, WhatsApp na tiketi.
Domain za .tz
Sajili .co.tz, .or.tz, .ac.tz, .sc.tz na .tz.
Kutengeneza Tovuti
Tunaweza kukutengenezea tovuti na kuiweka kwenye hosting yako.
Wasiliana Nasi
Ofisi Yetu
Oneway Africa Technologies
10 Bridge St, Samora Towers
Dar es Salaam, Tanzania
Njia za Malipo
Lipa kwa M-PESA, Mixx by YAS, Airtel Money au kadi ya benki moja kwa moja kwenye ankara yako.